wanawake waruhusu wanaume....

jamani binafsi na siyo kwamba naongelea moyo no condom haina raha katika majambozi kuna raha bana if the stuf is poured inside na hii ndio maana kipengele cha kuwithdraw pia ni ishu kwa wote wawili.
 
Dah! Kumbe kuvaa kwangu namnyima raha ehh!!?
 
solo ya manyamanyama

 
Last edited by a moderator:
hahaha mi sijakua acheni kuandika mambo ya baba na mama jamani mh naona aibu
 

Hapo kwenye bold, ina maana kwao raha ni muhimu zaidi kuliko afya zao??? Loh!
 
Hapo kwenye bold, ina maana kwao raha ni muhimu zaidi kuliko afya zao??? Loh!

hahaha mwana tuwaulize wao ...ila jamani utamu ule orijino ni balaa na wakati wa majamboz all senses zinapoteaga. sasa wee washangaa nni wakati sie wanaume pia tunapotezaga akili zote mbele ya K...basi na wao hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…