Hivi jamani ni utandawazi au maisha magumu???
Mimi sielewi nini kinatokea kwa wadada waleo sijui nimaendeleo??au njaa zanmani ulikuwa ukiwa na demu unaweza kupatakiburudisho zaidi ya x6 hivi unaona aibu unampa pesa!!! lakini wasiku hizi ukibahatika ajakudai sehemu ya tukio basi ujue next time uende na hela vinginevyo uhusiano wenu utakufa nakama utakuwa unampigia simu utaona haipokelewi!!!Hata kama anafanyakazi tabia nihilehile je nini wajameni???:fear::noidea:
Mzee unaokota vimeo sana.....duh pole..........LOL. Yaani nimecheka sana. Unavyolalamika!!!!!!!!!!

Hii ni kweli na majority wao ndio wapo hivyo. Mbaya zaidi unaweza kuwa na mwanamke ana kipato kukuzidi lakini hadi mambo madogodogo atataka wewe ndio uingie gharama! Hili ni tatizo!
Wewe umenenaKuchunwa muhimu mjini.....Hivi unapoona mdada anavaa Gucci, Prada, Dolce & Gabanna na kadhalika na kadhalika unadhani kaviokota? Unataka uwe unamvua hizo nguo bure bure tu? Usione vinaelea, vimeundwa na vitu vizuri ni gharama!!
Hivi jamani ni utandawazi au maisha magumu???
Mimi sielewi nini kinatokea kwa wadada waleo sijui nimaendeleo??au njaa zanmani ulikuwa ukiwa na demu unaweza kupatakiburudisho zaidi ya x6 hivi unaona aibu unampa pesa!!! lakini wasiku hizi ukibahatika ajakudai sehemu ya tukio basi ujue next time uende na hela vinginevyo uhusiano wenu utakufa nakama utakuwa unampigia simu utaona haipokelewi!!!Hata kama anafanyakazi tabia nihilehile je nini wajameni???:fear::noidea:
Mkuu unajua siku hizi wengi wanawekeza kwenye miili yao, ukiitumia wanategemea return. Wapo wengine very hypocritical unaweza ona hawakudai kumbe wanakupigia hesabu ya mbali, muhimu ni kwamba make sure you get what you pay for, not more than what you pay for.