Wanawake wasiokuwa na hela waachie Wazee (Mababu)

Wanawake wasiokuwa na hela waachie Wazee (Mababu)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu,

Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru!

NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
 
Toka jana mada ni moto sana.

Maisha yamekuwa magumu.

Pesa imekuwa ya shida pande zote.

Wanawake hawataki kusikia mwanaume anasema hana hela.

Ila wale wapiga mizinga wa JF wanajishtukia sana wakiona nyuzi kama hizi. Poleni 😊😊😊

Mtanange ni mzito sana!
 
Nasikia Kuna punyeto ya kuweka nzi kwenye mfuko wa nailoni afu unafunga dushe....Kama huwezi kuhudumia kajiunge huko.
 
Toka jana mada ni moto sana.

Maisha yamekuwa magumu.

Pesa imekuwa ya shida pande zote.

Wanawake hawataki kusikia mwanaume anasema hana hela.

Ila wale wapiga mizinga wa JF wanajishtukia sana wakiona nyuzi kama hizi. Poleni 😊😊😊

Mtanange ni mzito sana!
Ligi bado sana hii
We expect more threads kuhusu Kausha damu

cc Smart911
 
Habari zenu,

Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru!

NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
Kwa kweli wacha tu iwe hivo ilmradi pesa tunapewa.
Kina dada oyeeeeeeee.
 
Habari zenu,

Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru!

NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
Hawa wazee wanataki wakusanywe sehemu moja wafichwe huko watuzwe kama wanavyofanya wenzetu mambele kwasababu wanatuharibia mabinti wake zetu wa baadae na kuwafanya vijana kutokua na fikra chanya kuhusu uchumi kubakia kuwaza mapenzi tu. Hawa ndiyo wanaochochea moto wa kausha damu uzidi kuunguza vijana wakamatwe wawekwe sober
 
Kweli hii January ni ngumu sana halafu ndio tarehe 15[emoji23][emoji23].
Miaka yote 4 ya nyuma nilikuwa naisindikiza January na chupa za kutosha,but thus year aisee nimejawa na hofu,depression, kukata tamaa n.k.Kweli moto tunao
 
Back
Top Bottom