Valentine wako kakuvuruga leo husikii kila news😅Punguzeni sauti kidogo basi wakuu, wengine tuna matatizo ya kusikia tuoneeni huruma japo walau kidogo tu zikipigwa sisi tusiosikia itakuaje?
Nipo tayari!
Hahaha leo sisikii kabisa yaan masikio yameziba nasikia kwa mbaaali, eeh ulikua umesemaje niambie tena nikusikieValentine wako kakuvuruga leo husikii kila news😅
Toa hata kivtz ww acha mambo yako!Hahaha leo sisikii kabisa yaan masikio yameziba nasikia kwa mbaaali, eeh ulikua umesemaje niambie tena nikusikie