Ntonye ushawahi kaa na mshoga akakueleza alianzaje..ukiacha yule wa jf
Basi endeleeni kula 'mizoga' maana kwa wengine ndio saizi yao. Kusipokua na mpokeaji hakutokuwa na mtoaji. . .Walaji wakiacha walwaji nao wataadimika.Hawa wakiisha acha hii tabia ni mwanaume gani atawafuata ujue mwanaume ni sawa na fisi anaenda pale aonapo mzoga asipo uona anaenda zake, sasa waache kwanza wao na nyie mkisaidia katika kuwafukuza kwenye vijiwe vyenu
Basi endeleeni kula 'mizoga' maana kwa wengine ndio saizi yao. Kusipokua na mpokeaji hakutokuwa na mtoaji. . .Walaji wakiacha walwaji nao wataadimika.
Hivi ukienda maduka yote ukakosa mchele utaendelea kuutafuta si unaachano nao unanua chakula kingine? Waache kwanza wao waone kama watafuatwa
wamekufanya nini aisee...maana mara nyingi hawa huwa makuwadi aisee!Umetayarisha chandarua lakini
ukiwa na stress zako,ukizungumza na shoga,wanasaidia kupunguza stress.wana maneno ya kuchekesha.na unakuwa na uhakika wa kutokusumbuliwa kutongozwa
ukiwa na stress zako,ukizungumza na shoga,wanasaidia kupunguza stress.wana maneno ya kuchekesha.na unakuwa na uhakika wa kutokusumbuliwa kutongozwa
wao wenyewe wanakuwa comfortable na w.ke sio kama tunawaleaUmeona sasa mnavyowalea hawa viumbe sasa tukisema nyie ndo mnawalea tutakuwa tunakosea?
kweli kisukari afu wana roho nzuri sana.kwanza mi nawapenda coz wananiambiaga bwana zao.kuja mbaba alikuwaga ananifukuzia wee siku ya siku 'anti hamisi' akaniambia, ee shoga kumbe unamfahamu uyu baba ni shemeji yangu kwa 'anti issa', yaani nilichoka mbaba mwenyewe ana mke na watoto 3
Wengi wao husingizia eti alianzishiwa mchezo huu akiwa boarding, wengine eti alibakwa, wengine eti wamezaliwa wakajikuta wako hivyo, hawa wote ni waongo tamaa zao ndio zinawaponza mbona wakati tuko vijijini hii tabia haikuwepo ipo mjini tu inamaana watu wa mjini ndo wako hivyo
Wanawake mimi nawaheshimu sana lakini katika mnanikasirisha sana. Wanaume wanaojihusisha na matendo ya kishoga mara nyingi marafiki zao ni wanawake hawa wanakao nao na hivyo kuwapelekea na wao kujiona wanawake, huwezi kukuta shoga yupo kijiwe kimoja na wanaume kamili huyu utamkuta yuko kwa wanawake. Hivi mnaaonaje na nyie mkawafukuza kila wanapowafuata ili waache hii tabia?