Wanawake watu hatari sana.

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Yule jamaa kwenye tangazo la Vodacom "naenda kwa bibi" kagundua ile pesa mkewe alitumiwa na mchepuko na sio Vodacom,Hatua aliyochukua ni kurudi mjini kwa mguu nimekutana nae hapa Bunda imebidi nimpe lift sasa hivi tupo kisesa tunaingia Mwanza

Wanawake ni watu wabaya sana,kumbe ile pesa ni ya mchepuko wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini mbona ile safari alienda Lindi, imekuwaje umkute Bunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…