Wanaweka mawe kichwaniWanawake wanaovaa ushungi/ hijabu au vilemba muda wote huwa wanasuka nywele au kuvaa mawigi?
Hufundishwa madrasa kuwa, mwanamke akiacha kichwa wazi ni sawa na akiacha uke ukiwa wazi mbele ya watu/kadamnasi.Kwa ajili gani ?
Nahisi ni uchache wa akili tu hakuna kingine..Namaanisha wanasuka nywele na kuvaa wigi za nini wakati vinakuwa vimefunikwa na ushungi
Kwahyo kama tunavaa ushungi kichwani tuwe rafu?! Mapambo ya Binti/mwanamke wa kiislam n kwajli ya mumewe tu sio kuwaonesha watu wa njeNamaanisha wanasuka nywele na kuvaa wigi za nini wakati vinakuwa vimefunikwa na ushungi
Mbona unanyoa ma****zi ili hali unavaa boxer/suruali/kaptula?Namaanisha wanasuka nywele na kuvaa wigi za nini wakati vinakuwa vimefunikwa na ushungi
Mapambo ni kwaajili ya mume sio watu wa mtaani so mumewe anaona inatoshaNamaanisha wanasuka nywele na kuvaa wigi za nini wakati vinakuwa vimefunikwa na ushungi
Ya mama Ako nayo si unaiyona kila siku malaya wewe..Ni kheri uone **** ya mwislamu kuliko nywele, hii imekaaje maostadhati?