Wanawake wavaa ushungi huwa wanasuka au kuvaa mawigi?

Kusuka ni pambo kwa mwanamke, lakini kwa mwanamke wa kiislamu pambo nikwaajili ya mume wake. Hivyo akisuka na mtindo wowote ni kwaajili ya Mume tu na watu wa barabarani,
 
Huwa tunasuka nywele zetu wenyewe hatuvai mawigi ni haram
Wengine kama ndefu Sana huwa wanabana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…