Wanawake wawili wanapigana kumgombania mwanamme mmoja.

Wanawake wawili wanapigana kumgombania mwanamme mmoja.

Mkuu waache tu waendelee kupigana manake wanaume tuko wachache sana tena wanaojua kuhudumia
 
Ni haki yao ya msingi kabisa.
 
Hakuna cha kuwashauri...

Kama wameamua kupigana, mambo yao waachieni wenyewe...


Cc: mahondaw
 
Kama wanagombana kwa matusi na vijembe waache.


Kama wanagombana kwa ugonv wa mapigano naww sio mugombaniwa bali mshuudiaji, chukua hatua Kuwaachanisha.


Masiala masiala kama hayo ndo huwa mtu anakufa, unabaki kusema
"Daaahh yaan alianguka tu aiseee, huyi dem itakua alikua natatizo toka zamani"
 
Back
Top Bottom