Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Huu mchezo hauhitaji hasira wala nguvu...changa karata zako vizuri tu mkuu.Usijarb kuingia anga zangu sawa wewe dogo
Nakutania mkuu hahaha daah nishaoa mm nakutania tuHuu mchezo hauhitaji hasira wala nguvu...changa karata zako vizuri tu mkuu.
Ni hawa hapa ndio washindani wangu https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1458039/..au wewe ndie aliekuwa anatusimulia kwamba huwa anakudanganya? [emoji23]
Ulitaka kunitisha maana huyu mtoto nshawapiga bao akina Daby, Mr Miller.Nakutania mkuu hahaha daah nishaoa mm nakutania tu
Ila nafkiria mke wa tatu nadhan anafaaUlitaka kunitisha maana huyu mtoto nshawapiga bao akina Daby, Mr Miller.
Uwe makini Nina malengo nae...alaaa!
bao la mkono hilo, haikuwa fair play usijitape humu....nasubiri marudio.Ulitaka kunitisha maana huyu mtoto nshawapiga bao akina Daby, Mr Miller.
Uwe makini Nina malengo nae...alaaa!
🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bao la mkono hilo, haikuwa fair play usijitape humu....nasubiri marudio.
Ur so cuteMmmmmmh
aisee sikuiona hii,lakini ambiele utakuwa unamakengeza ha ha ha
aisee sikuiona hii,lakini ambiele utakuwa unamakengeza ha ha ha
aisee sikuiona hii,lakini ambiele utakuwa unamakengeza ha ha ha
aisee sikuiona hii,lakini ambiele utakuwa unamakengeza ha ha ha
Ah ah ah ah ah kila siku namuomba mungu jicho langu liendelee kukuona mzur na wapekee ila hao wengine wakuone wew mbayaaisee sikuiona hii,lakini ambiele utakuwa unamakengeza ha ha ha
Si kwa mahaba hayo mpaka shetani anaogopaAh ah ah ah ah kila siku namuomba mungu jicho langu liendelee kukuona mzur na wapekee ila hao wengine wakuone wew mbaya
Love u mwaaah
Huyu si tu mzuri ( anavyoonekana), ila pia posts zake huwa zina heshima na mashiko Fulani hivi, sasa cjui ni Mimi tu ndio naona ?Mzigua