Wanawake wengi huwa hawafiki kilelei wakati wa kufanya tendo la ndoa

Kitu kingine wanawake sijui wanakwama wapi,,unakutana na mrembo unamuuliza kpnz sehemu ukishikwa unakuwa byee,,anakujibu popote pale!!!

Sasa wewe ndio unaujua mwili wako badala ya kunipa ramani nipitie maeneo hayo ili mambo yasiwe mengi ufike kileleni wewe unaona aibu,,,mtabaki hivyo hivyo na mlimani msifike vile vile

Acheni aibu mfurahie maisha
 
Isipokuwa shemeji yenu yako

HAOWengine
Mnawagonga wanawaza sijui atanipa shingapi ,badala akili ziwe kitandani zinapelekwa kuwaza waleti ya mtu
 
Aisee 😂
 
Yaani nikutumie nauli, ninunue chakula na vinywaji,nilipie chumba Cha kufanyia tendo, Kisha nikufikishe na kileleni Tena baada ya hapo utataka nikuachie posho pamoja na nauli ya kukurudisha.

Aisee hapana kwa Kweli.Mimi Bora nikojoe bao zangu 3 za nguvu Kama wewe hajaridhika utajua mwenyewe 🙄
 
Umefanya utafiti wowote kuhusu hicho unachokisema?
Tafadhali tupe dondoo za utafiti wako; aina ya utafiti, namna ulivyofanya, sampuli na matokeo uliyoyapata kufikia hiyo 85%.
 
Wanaume wenzangu,,wanawake kutoridhika ni ishu kubwa sana kuliko tunavyodhani,, hatuna budi kujitahidi tuwaelewe ili tuwatulize,,vinginevyo watazidi kuruka ruka sana

Kuna wanawake wanatoa ushuhuda yupo ndani ya ndoa 38 years hajawahi kukojoa,wengine 10 years,,huenda wa kwako naye yumo lkn hasemi tu

Nakumbuka kuna uzi mmoja kuna mwamba aliwahi kusema ,alimpora mwanamke kwa jamaa mmoja hivi,kisha baadae mwanamke akaanza kutoka na mwamba wake wa awali,,katika kutrack mawasiliano yao,akabaini mkewe anasema kumwambia x wake kuwa yeye ndio mtu pekee anayemjulia vizur

Ina maana mwamba anaujua vizur mwili wa mwanamke unataka nini ndio maana huyo mwanamke anafika akiwa na huyo mwamba

Kwahiyo tupambane na hali zetu,kama ni mvivu na unaona hakuna haja ya kumfanya mkeo ainjoy basi usimfuatilie wala kutrack simu yake,kwasababu utayakuta yatakayo kushangaza
 
Hasa wanawake walioko kwenye ndoa. Wengi wanabakwa tu na waume wao. Hakuna cha maandalizi wala nini sembuse kukojozwa !
 
Upo sahihi kabisa ,,hiyo ni special kwa one and only
 
Namtetea muandishi yupo sahihi,,ni kweli kbs wanawake wengi hawafiki,tena wengine wanafeki to make you happy ujihisi ni kidume

Huo ndio ukweli wanaume tusijipe moyo kabisa
 
Yule brown sugar asipokucheck leo pm nipigwe ban😂
 
ngoja tujitibie hormone imbalance tutafika tu,,wazee wetu wala msiangaike😁😁tuna mashida yetu wenyewe.

mbona dak2-3 zinatosha kabisa.
Mpendwa ishu ni kwamba hamtusaidii ili tuwasaidie

Kwa mfano hayo maelezo yangu hapo juu haya apply kwa kila mwanamke,wengine ni tofauti kabisa hivyo inamuhitaji mwanaume au explore mwili wa mwanamke mpaka aujue vizur,,kitu ambacho mngerahisisha tu na mambo yasiwe mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…