Wanawake wengi huwa hawafiki kilelei wakati wa kufanya tendo la ndoa

ndugu yangu,, tunaweza tukawaambia lakini amini kwamba tunaumwa sasa wanawake wengi hakika nakwambia,, fungus sugu,, UTI sugu,, hormone imbalance,,mnateseka bure tu,,tupelekeni kwa wataalam
 
Namtetea muandishi yupo sahihi,,ni kweli kbs wanawake wengi hawafiki,tena wengine wanafeki to make you happy ujihisi ni kidume

Huo ndio ukweli wanaume tusijipe moyo kabisa
Andika utavyoweza, shida ni Mwanamke wako au wewe sio wote, yaani unadanganywa wewe, wenzako, wanawake zetu mshindo wanafka tena ule wa haswa...
 
Andika utavyoweza, shida ni Mwanamke wako au wewe sio wote, yaani unadanganywa wewe, wenzako, wanawake zetu mshindo wanafka tena ule wa haswa...
Mimi sina show mbovu chief

Nazungumzia majority ya wanawake,wako fine huenda anafika lkn elewa wengi hawafiki period
 
Mimi sina show mbovu chief

Nazungumzia majority ya wanawake,wako fine huenda anafika lkn elewa wengi hawafiki period
Yaani iwe dada yako shangazi yako au side chick wako hizo asilimia zenu wewe na mtoa thread ni za uongo. Muunge mkono usimuunge, Sisi tuna wanawake, marafiki zetu wana wana wake, hakuna story kama hiyo. Hao mnaowasema mnawajua wenyewe , wengine hatujakutana nao, na tupo na nightlife everyday, na wanawake tofauti na wanafika mshindo, fanyeni tena tafiti.
 
Wewe ni mtu wa maana sanaa mkuu kongole kwako, wengine naona wanajifanya ni kama hawajali flani huvi but wanapita kimya kimya kisiri siri wanasoma wanapitia madini. Shukrani mkuu kwa hii shule πŸ€›
 
Chief tukubaliane kutokukubaliana

Gracias/ asante
 
Wengi wanafika
Show kuwa nzuri haimaanishi utamfikisha
Ila wengi huwa wanafika
Wengine kibamia tu kinanfikisha
Kibamia ndo kina asilimia kubwa ya kumfikisha mwanamke mkuu, unajua kwanini. Asilimia kubwa ya wanawake maeneo ambayo wapo sensitive ni juujuu tuu kwenye uke sio deep sana sasa ukiwa na kibamia ni rahisi kugusa zile sehemu za juu juu ila ukiwa na tango kuji control uingize nusu nusu au robo kuna mda unapitiwa unazamisha ndichi zaidi unakuwa unaharibu burudani.
 
Ni jambo rahisi kwa vijana tu...
Ila sio kwa hawa wazee wa hovyo ambao wanajua kumwaga pesa tuu..

Kuna wazee hovyo sana tz hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…