Wanawake wengi huwa hawafiki kilelei wakati wa kufanya tendo la ndoa

Wengi wanafika
Show kuwa nzuri haimaanishi utamfikisha
Ila wengi huwa wanafika
Wengine kibamia tu kinanfikisha
Mpendwa kwanza nimefurahi kusikia kuwa unasema hata kibamia kitamfikisha na hii ni kwasababu ya maandalizi mazuri,kwahiyo wanaume waache ujinga wa kutafuta dawa za kukuza maumbile

Ntakuwa wa mwisho kuamini kuwa wengi wanafika
 
Mm naona ni jinsi mtu anavyo liendea swala la sex. Kama mwanamke hayupo sawa kifikra na kihisia hata ufanye mbinu gani hawezi ku cum. Kingine preparation before inamchango mkubwa sana. Hakikisha mwanamke kalegea haswa na anatoa ushirikiano bila hivyo ni sawa upo na gogo tu ata fake milio na wewe utahisi anaenjoy kumbe unasubilishwa umalize apite hivi
 
Kuna wale sasa anasugua G spot km anapekecha ulimbo, afu wabishi na visirani ukimwambia sio hivyo utasikia โ€œUsinifundisheโ€ as if yy ndo mmiliki wa hiko kipele G ๐Ÿ˜œ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
Hapa wanaongelewa wanandoa, zamu yenu mabachela bado ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mpendwa Lamomy yaani hao ndio wapuuzi kabisa,kwasababu amepata bahati kuambiwa nini afanye anajifanya mjuaji yan hovyo kabisa,nikipata baby wa hivyo mbona ntafurahi sana
 
Demu kakupendea hela zako,unategemea akojoe? Yeye mwenye anasubiria umalize umpe hela aondoke. Sijui kwa nini baadhi ya wanawake walio wengi wanaona kawaida kupewa hela (mara nyingi wana iterm kama nauli) baada ya kumaliza tendo la ngono? na hawajisikii vibaya.

Wanawake waelewa ambao ni wachache hawapendi uwape hela baada ya show, ndio maana wakiwa wanahamu kweli kweli wanakuja kwa gharama zao,akili yake yote anafikiria tendo na kumuwaza mtu wake,huyo demu lazima akoje hata kwa vidole then abdalah kichwa wazi anamalizia,then anaondoka kwa gharama zake.

Sasa demu anakuja akili yake ipo kwenye hela,katikati ya show,akili yake inawaza baada ya show jamaa atampa shillingi ngapi,hapo hapo katikati ya show mawazo yanapiga michanganuo ya jinsi ya kulipa vikoba,michezo majina matatu,wigi, toleo jipya la simu ,madeni yake mikopo nk,we unazani atakojoa saa ngapi cha msingi ukimaliza goli zako kadhaa mpe hela yake jikatae.
 
Nimeipenda hii
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kuna viumbe mapenzi kwao wanachukulia km vita.!! Ukienda gheto kwake anakukaribisha ww na viatu vyako anaingiza ndani, ujue hapo umekutana nacho.!!
Au labda kwasababu mmekula hela zao sana,kwahiyo analipiza๐Ÿ˜…
 
Sasa kama wewe unashusha waajemi, unataka nini tena. Mtu kaja na mzigo wa matatizo yake, it's either msaidie kutatua shida zake ili akili itulie au fanya yako upunguze uzito.

Watu wanaishi na msongo wa mawazo, wana maradhi, wana madeni, wana issues za kifamilia zinawasumbua, hawana ajira wala vipato vya kueleweka. Wewe unachukua unapeleka lodge unataka maximum satisfaction kwa both, huipati hata ufanyeje.
 
Au labda kwasababu mmekula hela zao sana,kwahiyo analipiza๐Ÿ˜…
Hela wapi!!! Basi tyuu wabongo anahisi akifanya kwa fujo ndio anakufikisha na kujisifu โ€œNimempelekea motoโ€ mtoto kanikubali. Kumbe ujinga mtupu.
Mimi mwanaume nikimpenda na nikiwa na hisia naye wala sichukui muda kufika.!!
 
Hela wapi!!! Basi tyuu wabongo anahisi akifanya kwa fujo ndio anakufikisha na kujisifu โ€œNimempelekea motoโ€ mtoto kanikubali. Kumbe ujinga mtupu.
Mimi mwanaume nikimpenda na nikiwa na hisia naye wala sichukui muda kufika.!!
afu wenye io tabia ya pupa hua hawajiamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ