Vaisi vesa izi truuna ,maana nyuma kumekuja mbele?
Kumbe ulikuwa umekaa nao baa. Kwa nini hukuwauliza wao wenyewe unakuja kutujazia inzi tu humu jf.Nimekuwa Baa moja jioni hii nikiangalia mechi ya Aston Villa na Man U, wanawake wote hapa wana matumbo makubwa, hakuna hata mmoja mwenye tumbo dogo yaani, nimejiuliza sana nikakumbuka nije nijenge hoja hii hapa jamvini
- je, Huenda ni pomb?
- au chips?
- .wapi Mzizimkavu?