Wanawake Wengi Miaka Hii wana matumbo makubwa-why?

Naona kama wachangiaji wa hii topic bado wana akili za kitoto.majibu yanatolewa bila fikra pevu
 
mh, haya asante mwaya
 
Kumbe ulikuwa umekaa nao baa. Kwa nini hukuwauliza wao wenyewe unakuja kutujazia inzi tu humu jf.

Join Date : 12th May 2013

Posts : 490
Rep Power : 7837
Likes Received 71

Likes Given 15


kumbe bado mchanga humu jf
 
Dawa za kuzuia ujauzito ndiyo chanzo hakuna kingine, wanawake nina dawa ya asili ya kuzuia ujauzito isiyo na madhara kabisa anayehitaji ani-PM.
 
Kama ni wanawake wa maeneo ya Sinza na viunga vyake, vitambi vyao mara nyingi vinasababishwa na kitimoto na bia.
 
Kama ni wanawake wa maeneo
ya Sinza na viunga vyake, vitambi vyao mara nyingi vinasababishwa na
kitimoto na bia.

Mkuu mbona mi nakula nyama na kitimoto na tumbo langu lipo flat? we muongo kama Muhongo
 
Ukitaka kujua kwa nini wana vitambi nenda pale kona bar uone wanavofakamia michemsho na viroba vya zanzi....
 

Mkuu hii mada ilisha jadiliwa hapa kitambo, na katokana na ushahidi mbalinbali uliowasilishwa na wadau iligundulika UVAAJI WA SURUALI KWA WANAWAKE NDIO UNAOWATOA MATUMBO japowenyewe hawalikubali hilo.

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=1571481
 

Dah! Nimekukubali
 
Michemsho, kongoro, ulimi, paya, chipsi dume na jike, kuku wa wiki 6, nyama choma + bia au wine au whisky au konyagi lazima tumbo liumuke kama hamira.
 
Wengi hatufanyi kazi nzito siku hizi na mazoezi hakuna...na tunakula mno vyakula vyenye mafuta mengi ukilinganisha na zamani
 

Hahaha metisha mkuu
 
Vyakula vya mafuta,chipsi yai especially,suruali za kubana tumbo na uzembe..upuka hvo hapo juu hutakuwa na ktambi...bt smtym maumbile,i eat a lot (naturals kw wingi) ,siendi gym bt my tummy is flat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…