Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Wabongo Kwa Fursa tu Hatujambo!
Mkuu hii mada ilisha jadiliwa hapa kitambo, na katokana na ushahidi mbalinbali uliowasilishwa na wadau iligundulika UVAAJI WA SURUALI KWA WANAWAKE NDIO UNAOWATOA MATUMBO japowenyewe hawalikubali hilo.
Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake
Join Date : 12th May 2013
Posts : 490
Rep Power : 7837
Likes Received 71
Likes Given 15
kumbe bado mchanga humu jf
Mkuu mbona mi nakula nyama na kitimoto na tumbo langu lipo flat? we muongo kama Muhongo
Nimekuwa Baa moja jioni hii nikiangalia mechi ya Aston Villa na Man U, wanawake wote hapa wana matumbo makubwa, hakuna hata mmoja mwenye tumbo dogo yaani, nimejiuliza sana nikakumbuka nije nijenge hoja hii hapa jamvini
- je, Huenda ni pomb?
- au chips?
- .wapi Mzizimkavu?
Vyakula vya mafuta,chipsi yai especially,suruali za kubana tumbo na uzembe..upuka hvo hapo juu hutakuwa na ktambi...bt smtym maumbile,i eat a lot (naturals kw wingi) ,siendi gym bt my tummy is flat
Nimekuwa Baa moja jioni hii nikiangalia mechi ya Aston Villa na Man U, wanawake wote hapa wana matumbo makubwa, hakuna hata mmoja mwenye tumbo dogo yaani, nimejiuliza sana nikakumbuka nije nijenge hoja hii hapa jamvini
- je, Huenda ni pomb?
- au chips?
- .wapi Mzizimkavu?
Ila wengi pia wameopt uzazi wa kisu. As a result wamejikuta haya majanga yakiwakumba sana plus no mazoezi full kujiachia.
Unajua wanawake wa mjini si sawa na wale wa kule kileji. Kileji wanawake wanapiga shughuli balaa. Kilimo, ufugaji, gulio, kazi na majumuiko ya hapa na pale yote yanahusisha kazi. Unajua wanawake wa zamani walikuwa wanaoga maji baridi mtoni. Siku hizi wote wako mijini washaharibu biashara za kilimo wanataka kushika mouse na wao watembee na tablet full kudonyoa. Where and where bhana?