Wanawake Wengi Miaka Hii wana matumbo makubwa-why?

Inashangaza sana ambavyo wanaume hawaoni vitambi vyao vinakera. Uko na mtu anasema punguza tumbo lisije likazuia mambo yetu ukimuangalia lake limezidi kitambi cha kawaida na haoni kwamba linakera pia
ni kweli lkn si unamua sikuzote anayekunya ni kuku?
 
Siku zote wanaume ni wabinafsi. Wachache sana hawapo hivyo
 
Michemsho, kongoro, ulimi, paya, chipsi dume na jike, kuku wa wiki 6, nyama choma + bia au wine au whisky au konyagi lazima tumbo liumuke kama hamira.

Hahahhahhh...mkuu hapo ndio mwisho wa habari, tumbo hapo halina ujanja lazima liumuke fasta!
 
wanakula mno. Dem akipata ofa atakula utafikiri kesho hatakula tena
 

mkuu si umesema upo bar?
mbona jibu hapo tayar unalo
 

umesahau kimoja, kitambi UTAJIJU hiki kipo kundi moja na kile cha rushwa ila ni spesheli kwa matrafiki tu (a.k.a askari wa kukusanya kodi ndogo barabarani za matumbo yao)
 
!
!
jibu ni kwamba wanakula ugali mwingi au wali mwingi kuliko mboga...................hebu tafakari anapika ugali kilo na mboga robo kilo, unategemea nini!tumbo lazima litokee tu







 
Dawa za kichina za kuleta shape ,ARVs, na Vidonge vya kuzuia mimba
 
:israel: :israel: :israel: NAIPENDAJE JF JAMONIIIIIIIIIII????
 
umejipa ID inayoednana na wewe kabisa, yaani hapa ni full hekima, saluti mkuu

Jina la mtu humfuata maisha yake yote.
Nashukuru kama umeliona hilo.
Great thinkers forum kwa sasa imeshapoteza muelekeo, najaribu kwa uwezo wangu kuurudisha muelekeo
 
nakutakia heri kuiboresha JF
Jina la mtu humfuata maisha yake yote.
Nashukuru kama umeliona hilo.
Great thinkers forum kwa sasa imeshapoteza muelekeo, najaribu kwa uwezo wangu kuurudisha muelekeo
 
Tena sembe kuliko dona
!
!
jibu ni kwamba wanakula ugali mwingi au wali mwingi kuliko mboga...................hebu tafakari anapika ugali kilo na mboga robo kilo, unategemea nini!tumbo lazima litokee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…