Wanawake wengi wa mijini 16-28 yrs MCHARUKO sana


Nashawishika, kulingana na maelezo yako, kusema.. 16-28 ladies WAMEKUCHAKACHUA... huwez kullia namna hii mdau..:redface:
 
In short, ni kua morally, regardless of our genders, wote tumeshuka sana maadili. Sitaki kuchukua sides, ila hao wanawake wa hiyo age group uliyosema, si wanafanya na wanaume, - kwasababu ya materials? Kwa hiyo pande zote ziko corrupt. Tamaa ni kweli zimezidi, lakini kikubwa ni umaskini wa materials na maadili. Tujitahidi kulea watoto kwa kuwapa miongozo ya kujithamini, wasione miili yao kua ni vyanzo vya ku - generate kipato.
 
Mm nimechoka kutongoza miezi 6 wanawake 6,yaan hatusetle kabisa sijui nn ,wanamind mshiko sana huyu wa sasa nliye naye tumekubaliana iwe Open relationship!mabinti hizo njaa zitawaua ,hamuoni uchumi wa kikwete ulivyopinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…