Wanawake wengi walio single, wapo single kwasababu ya vizinga, na kutafuta wanaume wenye pesa nyingi

Sii mmekubaliana "bora kuonekana mdangaji kuliko kupitiwa bure"
nitakupa mwaliko kikao kijacho ujue tumekubaliana wakutupitia wawe watu aina gani mkuu πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
There’s nothing wrong in this mbona

Mapenzi sio pesa but yanazunguka kwenye pesa. Inahitaji kuwekeza something ili uyafurahie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…