Wanawake wengi wasomi na wanaojiweza kiuchumi

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
673
Heshima kwenu wakuu,
Mimi humu ni msomaji tu kwa muda sasa[emoji1787][emoji1787]Sijui na utu uzima au ni vipi
Katika pita pita zangu nimegundua wanawake warembo/wasomi/wenye pesa wanateswa sana na mapenzi kuliko wanawake wa kawaida wasio na maisha
Shida ni Nini, vijana mnawaonaje au mnawachukiaje Hawa wanawake wa title nilizosema hapo juu

NB/ Tuendelee kufanya kazi
Miss you guys [emoji12]

Sent from my Pixel 6 using JamiiForums mobile app
 
Uliowataja wengi wanachagua chagua wale ambao walishapendwa na wengine, mwisho wa siku ni kilio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…