Kuna Mkuu humu JF(sikumbuki vema ID yake), alisema kwamba "Mungu akikupa chura basi hakupi akili, akikupa akili basi hakupi chura"...
Yaani Mungu hakunyimi vyote, ila pia hakupi vyote!
Kuna siku nilikua kituo cha polisi pale mawasiliano ndani stand(ubungo), kuna jamaa nilikua nimekaa Naye nje ya kituo tunasubiri huduma, Mara akakatiza kimbaumbau mmoja, tukamtazamaaaaa, kisha jamaa akasema " hawa wanawake wa hivi nuksi sana" nikamuuliza kivipi tena Mkuu, akaniambia "mwanamke mwenye uzito chini ya 50kg siyo wa kuoa kabisa, ni wasumbufu mno, wanalalamika sana, kila jambo huhisi wanaonewa tu" nikacheka sana! Sasa Leo tena tunaambiwa chura ni 0.001 IQ... Teh teh teh.. Wanaume tumeumbwa matesooooooooo, matesoooooooo, kuhangaikaaa!!!