Wanawake wengi wenye "CHURA" hamnazo

Afadhali umeligundua hili... Nilikua na rafiki yangu ana chura mzigo ila akili yake ipo hukohuko kwa chura!!! Binti alikua ananipa stress kudeal nae... Yupo slow kimawazo ile mbaya!
Na akili za Snuuurah ziko hivyo au?
 
Hahaha
 
Nadhani muda mwingi huutumia kutafuta njia za kujinasua na wakware na mashababi wa mjini ndo maana wanaonekana akili zao zimeshiliwa masaburini [emoji30][emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…