Wanawake wengine bwana

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Eti ukimaliza kumdadavua anakwambia asante baby.
Sasa sijui ile asante ni ya nini? Je kumchafua au?
 
Bado mdogo huyo anajifunza, kaabiwa juzi katika jaribio lake la kwanza.
 
So we unafikiri kazi yako ilikuwa kumchafua? Ila kama ulikuwa na kazi nyingine basi lazima ushukuriwe.
 
muulize yeye anamanisha nini? Anavyokuambia hivyo.kwanza mkiwa mnabanjuana huji kusema hapa ila tatizo likitokea unakuja kuandika ugoro jf
 
Wengine utasikia "Nashukuru jamani" tena sana sana wake za watu. Yani kama vile mumewe huwa hamfikishi!!! Lol mlaniwe.
 
it seems like u hav jus grown up in numbers only! but brainwise.......... mmhhhh!

I can see others are insulting me, others ignoring me. Let me know, Have I talked facts or not!!! Pls note you can only get those big ups if you perform to their satisfaction. So I can see problems here that there are those who have never experienced those big ups, no wonder those are the ones insulting me!!!!
 
Eti ukimaliza kumdadavua anakwambia asante baby.
Sasa sijui ile asante ni ya nini? Je kumchafua au?


Watu wengine bana. .

Sasa swali lako, jibu nalo unalo alafu bado unauliza?

Sasa kumchafua mtu nayo imekua 'big up'??!!
Kaaaazi kweli kweli.
 
Sasa hapo huelewi nini,hii athante huwa inatolewa ikiwa umemdadavua vidhuli,unajuwa nyie ndio mnaotutia aibu mnatembea na mijimama iliowazidi umri halafu unakuja kumwaga jamvini malavidavi uliyopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…