Wanawake wengine bwana

May be its your first time kupewa hiyo ASANTE ndio maana unashangaa kwingine ulikua hupewi hizo AHSANTE
 
Eti ukimaliza kumdadavua anakwambia asante baby.
Sasa sijui ile asante ni ya nini? Je kumchafua au?

Basi kama umemchafua na wewe utakuwa umechafuliwa!!!! Jiulize kwa nini unalipia guest na gharama nyingine nyingi za kuhonga kwa ajili ya kuchafuliwa? Fahari ni nini?
 
Bado mdogo huyo anajifunza, kaabiwa juzi katika jaribio lake la kwanza.


La! Kakutana kwa mara ya kwanza na wale wanawake wanaojuwa thamani ya tendo. Huko nyuma akikutana na wale waliozoeea kujijali nafsi zao tu kama wamefikishwa au bado, na hawajali mchango wa aliemfikisha.
 


Didn't you decided to spill your ignorance in front of everybody? Not everybody is wise but yet free to comment on you.
 

Mzee vumilia tu, kuna watu humu wao kila kinacholetwa ni cha kupelekwa kwenye dust bin. Everything they see is devilish! For them, good ideas come only from their mouths and brains!
 
Kama ni mke anamshukuru mumewe haina shida, pabaya ni pale anatoa asante kwa jianaume ambalo si mumewe hapo ni AFUNGWE JIWE ATUPWE BAHARINI. ASEMA BWANA MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…