Bongemzito
Senior Member
- Nov 5, 2010
- 162
- 19
Wanavumilia yapi?
Wai hao bia na nya choma tu.wachaga!!!!!!!
Naona watu wameweka utani mbele sana kuliko busara kwenye hili swala....acheni utani kwa maoni yangu ni watu wa Iringa acha mchezo.....WAHEHE,WABENA mi nawakubali kwannza wanajua kupenda pia ni wavumilivu mno kwenye ndoa..
Hizo sifa haziletwi na kabila ni mtu mwenyewe tu.Unafahamu kwenye ndoa kuna shida na raha,wao wanavumilia mengi,waliowengi ukiondoa hao niliowataja(wahehe na wabena) si wepesi kukata tamaa kwenye ndo lakini kuna makabila fulani fulani ivi wenyewe ni wepesi sana kuvunja miiko....
Pia hawa wahehe na wabena ni wakarimu mno yaani mpaka mwenye utapenda....nasema ivyo kwani nina ushaidi ninaye mke wangu mtarajiwa yupo ivyo.....nilivyokuwa shule iringa niliwaona pia..
Kila kabila lina wenye adabu na hekima.
Unafahamu kwenye ndoa kuna shida na raha,wao wanavumilia mengi,waliowengi ukiondoa hao niliowataja(wahehe na wabena) si wepesi kukata tamaa kwenye ndo lakini kuna makabila fulani fulani ivi wenyewe ni wepesi sana kuvunja miiko....
Pia hawa wahehe na wabena ni wakarimu mno yaani mpaka mwenye utapenda....nasema ivyo kwani nina ushaidi ninaye mke wangu mtarajiwa yupo ivyo.....nilivyokuwa shule iringa niliwaona pia..
Hivi kukaa mjini nako ni tatizo?mh hao mnaowataja wawe wanatoka kijijini na si mjini au ambao hawana access na utandawazi otherwise watoto wote ni spoiled mbayaaaaaa
Naona watu wameweka utani mbele sana kuliko busara kwenye hili swala....acheni utani kwa maoni yangu ni watu wa Iringa acha mchezo.....WAHEHE,WABENA mi nawakubali kwannza wanajua kupenda pia ni wavumilivu mno kwenye ndoa..
Wai hao bia na nya choma tu.