May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Na hili huwakuta sana wakiwa wangali bado wana umri mdogo.Kwa mfano jirani kwetu kulikuwa na familia moja Walijaaliwa Watoto watano wa kike, na wote warembo, tofauti ilikuwa rangi tu (complexion) kwani Baba alikuwa mweupe sana na Mama alikuwa black beauty,hivyo wawili walichukua Mama's black beauty na wale watatu ni light skin.
Tofauti na Wenzake huyu mmoja alikuwa ni mpole sana, si muongeaji,ili hali wale wengine ukimsalimia lazima atakupigisha stori,na kwa umri na smile zile za sekondari kupiga stori na Mtoto mkali unajiona nawe si hana. Basi baadae yule binti mtulivu akaja kupata mimba kabla hata hakajamaliza kidato cha nne.
Kwa akili yangu nikaona kabisa hapa Wakora wame take advantage ya ukimya na upole wake. Mfano mwingine nilikuwa kwenye Chuo kimoja pale Dar,darasani tulikuwa na Mdada mmoja mrembo sana, sitaki kuweka maneno mengi ila itoshe tu kusema kalikuwa karembo kweli kweli, ila Binti alikuwa mapepe yule, yaani kuna kuchangamka na kuchangamka tena, kiasi kwamba kama asipokuwepo Darasani basi kila Mtu anajua kuwa leo June hayupo.
Ukimtongoza anakugeuza topic ya siku Darasani na utakoma.Alikuwa ana uwezo wa kwenda kusimama mbele ya darasa akaanza kutoa lecture na kama ulimtongoza lazima hilo nalo ataliongelea na atakutaja.
Ila hapa sisemi kwamba wao (kina June)huwa hawanaswi mtegoni,ila Mabazazi wengi huwaonea zaidi wale Mabinti wakimya wapole wasioweza kujitetea. Kinyume kabisa na wengi wanavyodhani.