Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

Loool! ke'' mnatuweza sana! tena sana! li afande Wawa'' lilikuwa likiona Nyonyo tu Maweee! UNaona kabisa huyu afande kalegea!! Daaa wanawake? mpyutuu!! eti usipate hela na Mbususu unayo utakuwa mzembe sana!
 
Sisi ambao tunasema ""iila weeeewe na ufanye haraka ntaunguza"
tunapewa nini?
Mpewe bando la mwezi,

Na mpewe kila CHEMA kwa kadri istahilivyo na kwa kadri tupatapo PESA au MALI hakika hatuwezi kuwasahau kwa UKARIMU wenu.

Na zaidi mkumbuke kwa WEMA wenu ndani ya FIKRA zetu,

Pia mpewe 7X70 ya kila CHEMA cha nchi.

Mibaraka yote hii MTAIPATA lakini kama MMETUKARIMU BURE pasina KUTUUZIA.
 
ukiw
ukiwa na 60 hivi unaweza kuta unajibishana na mwanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…