Wanawake wenye matumbo flat wawa vipusa Dar

wakusoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
1,084
Reaction score
1,061
Kama utafiti unavyosema kwenye kila wanawake watatu ..wawili wana mtumbo..a.k.a kiroba..ama kifriji. Kitumbo ama cha bia ama chips ama Kitimoto.

Sasa wale wenye matumbo flat screen ambao kisayansi ni watamu..wamekuwa adimu sanaaaa..hotcakes.. Wanawake pambaneni na mitumbo yenu..hizi si zama za jakaya.

Tafiti hupingwa na tafiti.
Unakuta mdada ana kitumbo kha kiroba cha mchanga..khaaa.ukimwambia akae staili ya kifo cha mende anakuwa Kama chura!!
 
Soma kwanza mdogo wangu, hayo ya matumbo na utamu wake hebu acha kwanza. Tumbo linakusumbua nini wewe?
 
We jamaaa umenifanya nicheke saana. Kwenye dalaladala alafu pembeni yangu kuna Dada mada inamuhusu muda mwingi alikuwa anaichungulia simu yangu baaada ya kuona hii mada nimemwekea asome
 
We jamaaa umenifanya nicheke saana. Kwenye dalaladala alafu pembeni yangu kuna Dada mada inamuhusu muda mwingi alikuwa anaichungulia simu yangu baaada ya kuona hii mada nimemwekea asome
Hahaaa. Kajuta kupiga chabo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…