Wanawake wenye matumbo flat wawa vipusa Dar

Haha haya madongo sasa naona wanawake wenye vitambia wakipoteza confidence, ndo yale mambo ya fumba macho au zima taa ndo nivue nguo
 
Alafu niwe mkweli, wanawake wengi wa kiTz wana makalio yamejahliwa ila kitambi huwa kinaondoa kuonekana kwa mzigo, sasa ukimpata ambaye ana tumbo flat, utampenda! Wanapendeza kweli maana focus inakuwa upande mmoja! Nyuma!
Wenye matumbo makubwa hata romance ni kichefuchefu, ila hawa flat dah acha kabisa
 
Ha ha ha huwa nashangaa nikiona mdada ana kitambi mwengine anasingizia kuzaa ehee....sipendi kitambiiii nikikiona tu diet fastaaaa
 
Utakuta MTU asubuhi kala chapati 2 mchana ugali nyama au samaki usiku Kitimoto kilo mzima na lite kama 2 sasa ataachaje kuwa na kitambi?hakika ulaji mbovu unatuharibu shepu wadada
Kwenye avatar ndo tumbo lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…