Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji23] sisi tunafuatata hicho kismati cha pesaHawa waoeni, mme ana ndevu na mke ana ndevu pia yani humo ndani kama mabeberu.
Duuh hiki sio cha kike ni Cha Shoga......😁😁😁😁Wakuu salaam.
Kumekuwa na ongezeko la wanawake wengi kuwa na ndevu, na inavyosemekana wengi wao wana nyota ya pesa kwahiyo kama vipi napendekeza tuwaoe hao madili yasibumbe mjini.
Nawasilisha
#KijanaWaHovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya waoeni, mme ana ndevu na mke ana ndevu pia yani humo ndani kama mabeberu.
Hamna upendo siku hizi acha kubaki gizaniKwaiyo ww unaoa kwasababu ya nyota ya hela na sio upendo, pumbaf
Mambo ya ushoga yanakujaje hapa [emoji35][emoji35]Duuh hiki sio cha kike ni Cha Shoga......[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
VipiCheki na huyu nae
safiVipi
Pesa kwanza upendo utakuja tuu.Kwaiyo ww unaoa kwasababu ya nyota ya hela na sio upendo, pumbaf
Najitegemea hata hivyoNaona umejiita kijana wa hovyo..... inaeza kuwa kweli...
Kama unaoa kismat cha pesa,, sawa....ila ukishazipata hizo pesa utaelewa kismat hakikuwepo ili kiolewe..
JIFUNZE KUJITEGEMEA MKUU
Ila hili la pesa ni ukweliTushike lipi sasa maana wengine wanasema wanaua mume ukioa una siku nyingi una kufa
Anataka apendwe ajipende yeye kwanzaPesa kwanza upendo utakuja tuu.