Wanawake wenye sura mbaya mbaya huwa wako romantic sana

Awe mzuri ama mbaya me cjali,nachojali ni weusi wa ngozi na utipwatipwa maana joto lake na wekundu wa kyuma havijawai kuniacha salama!
 
Kwahiyo hao wote ulikuwa unazini nao au uliwaoa? yaani walikuwa ni wake zako? na kama ulikuwa unazini tu mkuu basi shetani atakuwa kakushilia vizuri sana..
 
Mzuri kwako mbaya kwa mwenzio and the vice versa is true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…