MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
salam sana.nilijaribu kufanya ka uchunguzi nikagungua wanawake wengi wenye sura za kuvutia wapo katika hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa ikiwamo UKIMWI.Pia wengi wao hawajui mapenzi na ua hawana mapenzi ya dhati.AAsilimia kubwa pia hawajaolewa na wana hawana uhakika wa kuolewa. Na wengo wao walioolewa waume zao wanatoka nje ya ndoa na baadhi yao pia hawajibiidishi kimaisha na hata wakijidiidisha mapato ni kwa ajili ya matumizi yao binafsi. Kwa wale wachache mmnaojitunza msije danyanjika tena hata kwa punje ya mtma. kama nimekugusa niwieradhi
physics!!!du hata sijui hii ni topiki ya somo gani
physics!!!
chatu mkali kwa nini wamuogopa,myama mkali asiye miguu,apitapo ahangaikaHe!!!!
sawa na wanaume mahendisamu
du hata sijui hii ni topiki ya somo gani
Kama jei kei?!! Kilaza.