Wanawake wenye sura nzuri na vioja vyao kwa wanaume

Ulichoandika kina ukweli ndani yake mkuu
 
Mtoa mada hana takwimu. Hata mimi pia sina takwimu. Lakini nitachangia. Suala la kutoa uroda kwa mwanamke ni kama kupokea rushwa. Mwanamke mzuri akijiheshimu atajulikana kuwa anajiheshimu na wanaume watajua hilo. Wanaume huambizana. Nani anatoa kwa bia au kwa pesa. Hata demu mbaya akiamua kutoa uroda mwanaume watajua hilo. Hivyo sikubaliani na hoja kuwa mwanamke mzuri ni hatari. Omba usije ukaoa mtoaji, awe mzuri au mbaya utateseka. Yamenikuta. Sehemu ya kazi ofisa yeyote mpokea rushwa anajulikana. Asiyepokea anajulikana na watu wanajua hilo. Anayebisha aseme.
 
kwahiyo unataka tuharibu sura zetu au? mods futa hii kitu.
 

acha hizo wewe!!!!
 
Kuna ukweli katika hili. Nafikiri ni majivuno yanayowafanya kudhani they deserve everything. Mie binafsi ni muathilika wa magonjwa haya ya akili ya hao wanaojilisha upepo,ati ni warembo. Kwa asilimia kubwa wanaishiaga pabaya.
 
nimechungulia tu ghafla kichefuchefu
 
Mi jamani vitu vingine vikiongelewa humu huwa vinanichanganya. Napata taabu, ina maana mimi sio mzuri? Mbona mi najiona mzuri tu na sina hizo sifa mbaya. Kuna mtu alisema wanawake wazuri hawaolewi hadi nikajiuliza ima maana bamsapu wangu alinioa kwa sababu mimi mbaya!?
Bwana wanawake wote wazuri tu ila macho ya wanaume ndio kuna mabaya na mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…