Wanawake wenzangu Ebu tutete kidogo hapa!

Acha ubahili.Eti worries za Kesho. Jidanganye.Kwani ukimtunza mke Kesho haipo.mawazo potofuuu
 
Poa
 
Kuna dada alishawai kuniambia et angekuwa mwanaume angekuwa anawa*some text missing*mba.,kumbe wenyewe ndo chanzo afu wanatulaumu.


Si hajabu hata mimi kuna mdada, ni rafiki tu....aliwahi kuniambiaga kama angekuwa mwanamme, angewat.omba wasichana mpaka anawakinai, akikaribia kuoa anachagua msichana mwenye uwezo kuwa mke wake ili mwisho wa siku kama hana kazi anatumia hela za mwanamke. Hilo ni wazo la mwanamke na ni mzuri kinoma.
 


Hili wazo kila mwanamke huwa nalo pale mambo yanapomuendea Kombo
 
Hili wazo kila mwanamke huwa nalo pale mambo yanapomuendea Kombo
Rubii..Umeona akiri za Hawa ndugu zetu? Wanakimbia majukumu.Na sisi akili ze mukichwa
 
Dada angu..Saula hili ni janga la dunia.kwa upande wangu mimi sipendi sana kugeneralize viti kama hivi.Kawa sababu hata sisi wanawake pia kuna wengine ni hatari.Nlishawahi kukutana na mwanamke anamnyanyasa mumewe hadi nikatamani anigawie mimi huyo kaka.Nachojaribu kusema ni kuwa sio wanaume wote na wala sio wanawake wote Shida ni moja wengi wanao oana hawaoani kwa kuwa wanapendana kwa dhati(na maanisha mapenzi hasa)siku hizi wanaume wanaoa eti kwa kuwa kakutana na wife material na sisi wanawake nao tunaolewa kwa kuwa fulani na fulani walisha olewa au kwa kuwa kuolewa ni lazima .Matokeo yake ndo hayo.Lakini kama ndoa zingekuwa kwa mtindo wa mapenzi ya dhati yote hayo yasingekuwepo.
Nini kifanyike,?Mimi na wewe na yule sasa tuanze kuwa tunawafundisha watoto wetu kuwa na mapenzi ya dhati,nina imani ukimfundisha wako na mimi nikamfundisha wangu wakija kukutana ..Swadakta!
 
Huwa hatupati, kwahiyo muache kututumia.
 
Ule mchezo ni mzuri kaka angu na haukuna raha kama ile duniani![emoji12]
lakini Wanawake huwa hautuwazishi,yaani hautufikirishi!Na ndio maana ni rahisi kwa mwanamke kukaa mwaka mzima bila kuucheza na inaweza kuwa ngumu kwa mwanamume.Na kwa sababu hiyo mwanamke anaweza cheza mechi hata ishirini asifike,,Lakini mwanamume anaweza funga goli hata ndotoni. Ni nature tu mpendwa wangu.
 
Nimekuelewa sana mamii!
 
But..Causative wa mateso mengi Ni Mwanaume.Ebu fanyeji kama forum ya Wanaume mjirekebishe.Mnawaliza sana wanawake.Hatukatai.Kuna makosa wadada, wamama wanatenda but fatiliaaaa chanzo.Ni ninyiiiii!
Wanaume wanakosa mafunzo ya namna ya kuishi,kumlea na kumuelewa mwanamke.Mi naamini sisi wanawake ni viumbe dhaifu sana mbele yenu kama tu wanaume mtafanya jitihada za dhati kutuelewa.
 
Mmh naona tuna chambwa madume suruali kwa mbaale
 
Usijali.Wangu muda huu hayupo kasafiri.Usihofu.Ila kwa nini mnatesa wanawakeeee! Enyi viumbe!!!!
Wewe dada kama umeolewa naamini ndoa yako itakuwa ya mfano wa kuigwa. Yaani kifupi upo vizuri "upstairs" na unajua maisha ya mahusiano yanavyotakiwa though huwezi kuwa perfect kwa 100% ila upo vizuri.

Mungu akusimamie vema na pia kama kuna kasoro au tatizo na mumeo "KAA NAE CHINI, MUONGEE KWA UTARATIBU MYAMALIZE", naamini hilo litafanya uwe mwanamke wa shoka zaidi na hubby wako atazidi kuwa proud of you forever.

Kumbe kuna wanaume wana bahati yakupata wanawake vichwa aiseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…