Wanawake wenzangu Ebu tutete kidogo hapa!


Najua kwa nini umesaport hii kitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani mi siwaelewagi kabisa yaani.
Nakwambiaaa Ni Hatariii.Huwa wanahisi utachepuka.Sasa kama utachepuka why wasijiongeze(Mwanaume Bahiri hana mvuto kwanza)
 
Nilichogundua.Ninyi Wanaume mkisapotiwa kuhusu kutomhudumia mwanamke.naona Ndo safiiii.Je anajua kama hapa Duniani mliletwa kwa makusudi hayo au ndo mnajitoa ufahamu tu hapa.Eti unasifia kabisa.Kwa hiyo.unakwepa majukumu Mungu aliyowapa????Halafu ukifuatilia kwa undani.Sisi wanawake Hata hatutakagi makuu.Mfano ukitenga Elfu 50 kwa mwezi ya kumsopusupo bi Dada Hata kichwani tu kwingine atajihudumia hutajengaaa??mbona chakula Unakuja..Mbona budget zingine zote u napanga Na kutoa.Hiyo tu unaona Choyo ,tatizo ukianza kuona unachunwa Sijui sitajenga Basi Ni sumu.Ila ukijiwekea kwamba.Ni wajibu Wangu kumsaport mama watoto au mpenzi au mchuchu kama mnavyoitaga.Hautaumia.Kwanza maana halisi ya Mapenzi Ni kuenziwa.Mbona nyie tukiwanunuliaga Mfano Boxes, masharti au vitu au sandals kwa Mshahara yetu mnasifiaaa.Why nyie miezi 5 inapita Baba au kijana wa kiume umekaukaaa mithiri ya mti wa mbuyu mzee.hujiongezi.na kwa nini ikuume kumpendezesha mpenzi wako??akipendeza kwa jitihada zake wivuuu,akikuomba unachukiaa.Why don't you be part of her smile??Kwanza ninavyojua.Mwanaume anakuwa so proud anapomfanya mwenzi wake kuwa Na furaha.Yaani.Mimi Nina ninyi Wanaume.msiojielewa.Wanaume wabahili.Mpaka somo hili liwaingieee vichwani Mwenu!!cc The Boss.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wape wapeeeee!!
 
Wakileta ubahili kwa wallet na sie tuwabanie vichongeo vyetu...kuhusu mimba zuia na p2 ndani ya saa 72 au tumia uzazi wa mpango,kutembea na tumbo miezi tisa sio kazi rahisi,uzae uanze kulea,bado akunyanyase loh! Naona hayo mapumbu utakuwa umeyachoka kuyaning'iniza nitakusaidia kuyabanika
 
Haaa haaaa haaaa Simba jike usiwafanyie hivyo jamani.Tuwaelimishe tu mdogo mdogo kwa busara wataelewa.
 
Wanawake wenzio wanakucheka! Wanasema hivi
1: Wao wale wapi? Akhuu babuwee!
2: Tutabanana hapahapa+! Hatoki MTU weweeee!
3: Haina shombo muhogo wa jang'ombe.

Kwa hiyo, Mwana wa MTU ni kizuka akizuka unazuka naye. Hasidi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe.
 
Hujapata mkunaji.
 
MIE HUWA NAWAPA MITIHANI MIDOGO TU WANAWAKE WAKISHINDWA NDO WAMENIKOSA HIVYO HATA DUDU YANGU HAONJI
 

asante kwa kuwaambia wanaume ukweli...inawezekana ni kweli nina kazi nzuri lakin nisikuombe pesa maana najimudu lakin hunijali hata ile kutuma sms au kupiga simu kunijulia hali ni kazi ? maranyingi wanawake ndio tumekuwa maphone caller wa wananume unampigia kila wakati lakin kila kilicho na mwanzo hakikosi kuwa na mwisho ..mwanaume asiyenipa muda wake na kunijali huwa namwangalia tu nafanya yangu siku akili ikizinduka hataniona tena..Mimi hata usiponipa hela lakini jua kuwa mwanamke anahitaj muda wako na umjali hata sms kwa wiki mara mbili inaonyesha unajali sasa mwezi mzima mim nakupigia tu...shubamiti,,,! kuna wanaume wanabahati ya kupendwa lakin hawapendeki wanaona tunawangangania ..NDO MAANA NAYACHUKIA MAPENZI
 
Pole sana dear. Usiyachukie Mapenzi .Wanaume wazuri Wapo.Shubamiti Ndo nini dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…