Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,285
Wanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf?

Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi.

Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni namna anavyopost nilifanya juhudi binafsi mpaka nikabahati kumuona kiukweli ni mtu anayejielewa na mwenye msimamo sana nilijaribu kumchomekea mambo fulani kabla sijaolewa lkn akanijibu kwa upole im sorry nafasi imejaaa. Nawewe mwenzangu emu funguka.
 
Mu-Arsenal
[emoji123]
 
...interesting


Sent from Simu yangu sijaazima kwa mtu Jamii Forums mobile App
 
navutiwa na comment zamr interesting aka the boss comment zake zinafurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…