sio mimi [emoji12] [emoji12]nimesahau jina lake nikimuona ndo namkumbuka
sio padri tena?Mimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
hahahaah kaunganishiwa ID. ahahahh duuu!sio padri tena?
Kelvin isaya ni nani?
sio mm kweli?Ninayemzimikia hata hana time na mimi. Sad[emoji22][emoji22]
Nafasi ngapi hizo zimejaa?Mi sina hasira lakini kwangu pia nafasi zimejaa hahah
DuhMm huwa navutiwa na mwanaume mrefu halafu asiwe mweupe hapo moyo wangu kwatu.