Ndo maisha hayo mkuuThat is it. Just imagine MTU unampenda unamtext hata x5 hajibu yaani haya sim hapokei. Inauma but mchawi pesa IPO siku nami nitapata
Huwa nakuwazia mazuri sana we mwanamke sijui kwa niniNdiwooo. Usikose vyote
Naam maisha hayana formulae, wanikataa Leo maskini kesho napata zali la pesa, Mungu wa ajabu sana kwenye kutoa ridhikiNdo maisha hayo mkuu
Well said brohMchawi pesa tutafuteni pesa wanaume!
Kweli? Nashukuru mkuuHuwa nakuwazia mazuri sana we mwanamke sijui kwa nini
Saana yaani,nilishakuombaga namba ulishaninyima muda sanaKweli? Nashukuru mkuu