Wanawake wenzangu ni bora mwanaume mwenye pesa au elimu?

yan huyu ata mimi nimeshindwa kumwelewa, nadhan kila kitu kinachokuja kichwani ana kipost hapa bila kuwaza wala kuchuja
 
Vyote si bora muhim kuwa na true love..well me napenda MOYo wake..pesa na elimu havina nafasi
 
Natalia?

unataka mwanaume mwenye pesa kiasi gani?maana tunazidiana,kama unatafuta mwenye pesa zaidi ya uliyenaye maana yake ni kwamba utatoa uchi wako mpaka pale utakapompata the richest man on earth naye atapitwa utaendelea kutoa uchi wako mpaka ubabuke!

na kwa viwango vya wanaume wa bongo na tusivyopenda wadada wa type yako utatoa uchi for every lunch na mtu akila mzigo anasepa!jiandae kuwa changudoa!
 
Mnamshangaa wakati "wanaume suruali" ndo msemo wa mujini these days.

Ni ngumu kumesa lakini hiyo ndo reality...fanyeni kazi muwe nazo otherwise subirini watao waona mna mvuto wa kimapenzi (wale wa true love). Sasa mvuto wa kimapennzi huna...pesa huna...unadhani wadada wa mujini wataacha kukuita mwanaume suruali.

Na hiyo ni toka zamani jamii inajaribu ku reason umempendea nini...ana ela? hana...handsome? No...utasikia huyu amerogwa?
 
Yaani kuwa mwanaume raha sana,! Kwani kitendo tu cha kuwa nayo, ni zaidi ya pesa na elimu. Jipangeni wadada, me nimefanya yangu na nyie fanyeni yenu.
 
inaonyesha wengi mmeshindwa kulijibu swali hapa. Mnalalamika lalamika tu bila sababu za msingi. Toeni jibu. Miaka yake ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…