Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

Hard truth ni hii

Wanaume wengi hawajali kuhusu uzazi wa mpango. Sababu somehow dunia imehusisha idadi ya watoto na UKIDUME!

Yaani kama mwanamke, usipopambania kujilinda, mume hata kama mlisema mtazaa watoto 2...hana shida kuzaa 5 sababu hatowabeba yeye, hatowapeleka clinic yeye, hatokaa nao wakiumwa. His only role will be kutoa pesa, na hii role siku hizi tunasaidiana.

All in all, wanaume wengi hawajali uko siku za hatari, uko siku salama (sio shida zao at all). Ukilialia hapo kusema siku za hatari mnaweza kubaliana kabisa amwage nje na akamwaga ndani.
 
Mimi nipo na hamtaki kunitumia kuhusu hizo shida zenu ,kisa vielfu kumi vyenu mnaona kama nitafaidi ,endeleeni kuishi kwa mashaka kwenye tundoa twenu ila mkae mjue si kila mwanamke anaweza kutumia kila aina ya uzazi wa mpango anaoutaka yeye ila hormone diagnosis ni lazima .

Shida hizo hela mnaishia kuwapa wafamasia wa vipharmacy mshenzi huko vichochoroni ila kuleta kwa watu wenye kazi zao hamtaki ,endeleeni kuteseka .

Anyway sina hela ya pombe leo mwenye uhitaji kabisa ya mambo ya uzazi alike huu uzi ili nimsaidie nione kama badaye nitatamba pande zangu.
 
Hawana afya hiyo. Wanakula chips, biskuti na soda. Afya ya kuzaa watoto 10 watowe wapi?
Wanaume wengi pia wanakula hivyo hivyo vyakula na hawana hizo nguvu za kuzalisha wala kulea hao watoto 10.
Wanaishi na stress za vicoba afya ya kuzaa watoto 10 watapata wapi?
Kwa maisha ya sasa kwenye familia nyingi, mahitaji ya nyumbani na ada za shule mnachangiana kuzitoa, na wote mnajishughulisha, la sivyo huyo mwanaume pekee hatoboi. Stress zinakosekanaje sasa hapo?

Hata kama una uwezo wa kuzaa, ikizidi sana unampa watoto watatu maana hao ndiyo mtamudu kulea.
 
Kumwagiwa ndani au nje si jambo la kuzungumza na mwenza wako kabla ya tendo au huko kwenye ndoa hali ikoje mkitaka kubanjuana?
 
Sikusema kwa ubaya, lakini wanawake ndiyo wanaongoza kupenda kula hivyo vyakula vya hovyo

Hata hivyo mimi mwenyewe sipendi kuwa na watoto wengi sitaki waishi maisha ya shida nikifariki
 
Kumwagiwa ndani au nje si jambo la kuzungumza na mwenza wako kabla ya tendo au huko kwenye ndoa hali ikoje mkitaka kubanjuana?
Siyo kazi rahisi kumwaga nje, utamu unazidi ukimwaga ndani

Pia kuna nyakati mnaweza kufika kileleni kwa pamoja hivyo huwezi kuchomoa uume dakika hiyo

Pia kuna muda mnakuwa mmelewa wote wawili huo muda wa kumwaga nje hamuwezi kukumbuka
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Kumwaga nje nako si kitoto. Mi naonaga naumia tu hasa misuli ya gobole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…