Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

Kama una idadi ya watoto unaoona unastahili kuwa nao, funga kizazi.

Japo wengi watapinga ila ni option nzuri zaidi kama huna mpango wa kuongeza mwingine zaidi.
Huu nao ni mjadala mwingine. From feedback ya watu wangu wa karibu; Madaktari wa wanawake wengi hawapendi hili jambo. Actually hata wanaume hawapati wepesi wanapoomba hii huduma. Sijui kwanini.

Sijawahi kujaribu kuongea na daktari wangu kuhusu kufunga kizazi. Nitajaribu nione anasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…