Siyo makusudi wala bahati mbaya ila inaongeza utamu zaidi kwa mwanaume anapomwaga ndaniMtu mnakubaliana, anamwaga ndani then anakuja kusema "Ningewezaje sasa?"..unaishia kusamehe tu...hujui ni bahati mbaya au makusudi
Sema ndo mtihani nao kutoa nje usilaumu sana na uzuri ni mumeo😁Mtu mnakubaliana, anamwaga ndani then anakuja kusema "Ningewezaje sasa?"..unaishia kusamehe tu...hujui ni bahati mbaya au makusudi
Nitajie faida 3 za kuwa na watoto wengi kwa miaka hii tuliyopoSasa hapa unataka nifuate malengo yako mkuu, halafu niache vipaumbele vyangu🤔
Si zalishi watoto wengi kwa kutegemea faida yoyote , ni kwa kujifurahisha kwangu tu .Nitajie faida 3 za kuwa na watoto wengi kwa miaka hii tuliyopo
Hapo sawa mkuu.Si zalishi watoto wengi kwa kutegemea faida yoyote , ni kwa kujifurahisha kwangu tu .
Hahaha ila sio lazima mpka kuoa mkuu, 😅😅😅Hapo sawa mkuu.
Nenda sasa utimize hitaji la moyo wako
Itakulazimu uoe wanawake wengi maana wanawake wa Sasa huo wa kuzaa kila mwaka hawana.
Ndiyo, shida ni muda. Nishindwe kuwasiliana na washirika wangu wa biashara nikae kupokea simu za wanawake niliozaa nao kila wakati badala kutumia simu yangu kuwasiliana na madili ya biasharaHahaha ila sio lazima mpka kuoa mkuu, 😅😅😅
SawaNdiyo, shida ni muda. Nishindwe kuwasiliana na washirika wangu wa biashara nikae kupokea simu za wanawake niliozaa nao kila wakati badala kutumia simu yangu kuwasiliana na madili ya biashara
Mapenzi au mahusiano yanahitaji
1. Muda
2. Pesa
3. Nguvu za kiume
Kwahiyo unapokuwa na wanawake wengi ni rahisi kutumia vibaya muda wako, pesa zako hata nguvu zako za kiume.
Zaa wewe haya madude ya wazungu mnakuja jiharibia tu mwilini .....paka limao chini huko uue viluwiluwi kama huwezi fuata tarehe za siku hatari badala ya sijui mavidonge na mavijiti mnaenda tengeneza tu magonjwa na hiyo UTI ni yanayoonekana..bado hormonal imbalance na madhara mengine ya mda mrefu..mmeubwa kuja kuijaza dunia Gates Foundation’s new world-first contraceptive for African women: what it means for AfricaKwani nimesema sina watoto ndugu yangu? Unataka nizae 10 nishindwe kuwasomesha walimwengu mnicheke?
tulia msimbe we swala la kuzaa nadhani ushafikia menopause ah ah hamna hajaMiaka yake inahusika nin na alichokiandika
Na unadhan mtu unaweka njia ya uzaz wa mpango bila kumshirukisha mwenza wako ? Mbona watu mnapurupukaga huko mkadhan mnajua maisha ya watu? Au hizi mada za jamii forum zinawatoa akili zenu
Tatizo evolution inakufanya mwanamke uwe na genye sanaWanadamu wa sasa tunapenda ngono kama chakula.
Siku za hatari kwa mwanamke ni 7-10 tu. Kuanzia siku ya 10 hadi ya 18 au 20 mkiweza.
Sasa hizo siku 10 mwanaume eti anashindwa kuvumilia, ni uzembe wa kifisi.
Na wanaume inabidi wajue kukaa japo wiki 2 straight kwa mwezi bila kusex inakufanya u-recharge mwili na inner energy yako inakuwa kubwa.
Kiasi kwamba siku ukimkamata mkeo anafeel kama kakutana na mtu mpya.
Kwahiyo tukae wiki 2 tunatizamana tu...Wanadamu wa sasa tunapenda ngono kama chakula.
Siku za hatari kwa mwanamke ni 7-10 tu. Kuanzia siku ya 10 hadi ya 18 au 20 mkiweza.
Sasa hizo siku 10 mwanaume eti anashindwa kuvumilia, ni uzembe wa kifisi.
Na wanaume inabidi wajue kukaa japo wiki 2 straight kwa mwezi bila kusex inakufanya u-recharge mwili na inner energy yako inakuwa kubwa.
Kiasi kwamba siku ukimkamata mkeo anafeel kama kakutana na mtu mpya.
Ukinikuta hospital halafu useme unataka nikuweke kitanzi nakupiga makofi na wengi nimewafanya hivyo wapuuZi sana hivi nyie mnajua ujinga wa huo unaoufanya? Jinga kabisa nyieHabari,
Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.
How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?
I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.
Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.
Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.
Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
anawake ndiyo ujinga wenu na wengi wenu hamshirikishi waume zenu mimi ukija hospital ukisema nikiweke kitanzi nakuuliza umemshirikisha mumeo ukinijibu hapana nakupiga makofi au nakufukuzaMiaka yake inahusika nin na alichokiandika
Na unadhan mtu unaweka njia ya uzaz wa mpango bila kumshirukisha mwenza wako ? Mbona watu mnapurupukaga huko mkadhan mnajua maisha ya watu? Au hizi mada za jamii forum zinawatoa akili zenu
Bora wewe umesoma hata kichwa cha uzi, ameita wanawake wenzake ila wanaume ndiyo wamejazana na unsolicited advice zao 🚮🚮🚮Hii mada ni kwa ajili ya wanawake wenzake
mimi sichangii chochote!
Khaaaaaaa 😂W
anawake ndiyo ujinga wenu na wengi wenu hamshirikishi waume zenu mimi ukija hospital ukisema nikiweke kitanzi nakuuliza umemshirikisha mumeo ukinijibu hapana nakupiga makofi au nakufukuza
Pathetic utabaki na akili zako finyu ivoivo as if unamjua mtutulia msimbe we swala la kuzaa nadhani ushafikia menopause ah ah hamna haja
ah ah all in all fyatuaa acha kujitengenezea magonjwa ya uzeeni huko na hayo mavijiti...health is wealthyPathetic utabaki na akili zako finyu ivoivo as if unamjua mtu