MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
fact.dah hapa mzungu ametunyoosha sana hizi ndoa za kisomi.,,,hapo ukute una 30 kwenda juu unaleta hizi porojo...na nikwambie tu unaweza kaa hata miaka mi2 ukijaribu mimba usipate...hope mmeo anajua hili kuna jamaa yangu alipogundua na ndoa ikaishia hapo hapo
Manjia ya kisasa kiukweli sio poa , bora hata mtumie billing ovulation method (BOM
Ni kweli haya makitu kwa baadhi ya wanawake wakiyatoa na kuanza kutafuta watoto utawaonea huruma , kuna Wimbi kubwa sana la wanawake wanaotafuta mimba kwa tochi🤔fact.
SureYes dear,BOM ni nzuri sana,halafu inasaidia unaujua mwili wako hata ukiumwa unahisi hapa naumwa kabla hata dalili za ugonjwa hazijaanza. Ilitakiwa hii njia tufundishwe shule sema ndo hivyo mitaala inaandaliwa kwa ushirikiano na wenye makampuni ya dawa,wanawafundisha njia zitakazowaingizia wao pesa maana mkitumia BOM vitanzi vitakosa soko
kuna wengine huku hawashirikishi wenza wao tena hasa maeneo ya vijijini ndani.kwahyo yupo sahihi.Miaka yake inahusika nin na alichokiandika
Na unadhan mtu unaweka njia ya uzaz wa mpango bila kumshirukisha mwenza wako ? Mbona watu mnapurupukaga huko mkadhan mnajua maisha ya watu? Au hizi mada za jamii forum zinawatoa akili zenu
Inabidi uweke ukiwa na watotoNi kweli haya makitu kwa baadhi ya wanawake wakiyatoa na kuanza kutafuta watoto utawaonea huruma , kuna Wimbi kubwa sana la wanawake wanaotafuta mimba kwa tochi🤔
Plus inaleta ile hali ya ukaribu kati yako na mumeo. That feeling unaipata wakati wa kudiscuss your cycle with your husband is so sweet 😋😋😋❤️❤️. Then mkianza countdown kusubiria safe days,hadi raha yaani kama mnaisubiria siku ya harusi.Sure
Inabidi uweke ukiwa na watoto
Tatizo evolution inakufanya mwanamke uwe na genye sana
Hasa kama huna kipengele na mwenza wako jamaa unaweza shtuka umebakwa
Bro mbona unamjibia mwanamke unayedai ana akili zake?Sinaga time mimi na wake za watu. Huyo ukimsoma tu unajua ni mke wa mtu tena mwenye akili zake.
Usipende SANA kutafuta wanawake mtandaoni
Samahani in advance kwa kuuliza, wewe ni ME au ni KE?Plus inaleta ile hali ya ukaribu kati yako na mumeo. That feeling unaipata wakati wa kudiscuss your cycle with your husband is so sweet 😋😋😋❤️❤️. Then mkianza countdown kusubiria safe days,hadi raha yaani kama mnaisubiria siku ya harusi. Hata research zinaonesha couples wanaotumia Natural Family Planning Methods kama BOM divorce rate yao ipo chini sana compared to couples wanaotumia hizi njia za kisasa.
KESamahani in advance kwa kuuliza, wewe ni ME au ni KE?
Sawa, inapendeza kama wewe na mumeo mnaweza kukaa bila kushiriki tendo katika zile siku 6 -7 za hatari.
Asante sana kipenzi. Self control sio rahisi niwe mkweli,sio rahisi kabisa siwezi kudanganya. Yaani ni unajitoa sadaka. Lakini faida ni nyingi kiasi kwamba hayo mahangaiko ya siku za joto😂😂😂 huwa tunayapokea tu kwa moyo mweupe. Nashukuru Mungu nilipata hii nafasi ya dhahabu ya kujifunza Billings Ovulation Method na kiukweli sijutiiSawa, inapendeza kama wewe na mumeo mnaweza kukaa bila kushiriki tendo katika zile siku 6 -7 za hatari.
Kongole kwenu kwa kuwa na self control ya hali ya juu 👏👏 kwa wengine hilo swala ni gumu sana.
Limao tena? Hebu dadavua hiyo teknolojiaZaa wewe haya madude ya wazungu mnakuja jiharibia tu mwilini .....paka limao chini huko uue viluwiluwi kama huwezi fuata tarehe za siku hatari badala ya sijui mavidonge na mavijiti mnaenda tengeneza tu magonjwa na hiyo UTI ni yanayoonekana..bado hormonal imbalance na madhara mengine ya mda mrefu..mmeubwa kuja kuijaza dunia Gates Foundation’s new world-first contraceptive for African women: what it means for AfricaView attachment 3542839
Tena kuna watu wanasema kitanzi na mapenzi ya kashikashi haviendani…hakitaki mabrekaaa🤣🤣🤣Nilitumia kilinipa maudhi kiukweli nilitoa.
Nilikosa kabisa hisia na nikawa siko comfortable wakati wa tendo maana Mimi na mume wangu tunapenda sana style za kubinuka.
Hapa nipo na enjoy nasubiri mimba nipate ka uzeeni