Umenipa topic za kujisomea kwakweliKitanzi cha Copper ni kweli hakina hormone za uzazi lakini usichoambiwa ni kwamba Copper ina uwezo wa kuathiri hormone za uzazi hasa estrogen ndio maana kuna hayo maudhi unayapata. Hiyo sentensi kwamba " hakina homoni ni maneno tu ya kutia watu moyo ili waone kina uafadhali". Mbaya zaidi kitanzi cha copper kinatoa kiwango kikubwa cha copper mwilini kuliko kiwango kinachoruhusiwa kwahiyo kinaleta " copper toxicity". So unaepuka hormones unapambana na copper toxicity. Kuna group Facebook la wanawake kutoka sehemu mbalimbali duniani wanaotumia hizo Copper IUD, simulizi wanazotoa hao wamama sio poa. Ukipata nafasi kalitafute usome,utaona hayo mambo wanayopambana nayo.Hayo majitu ni masumu. Bora njia za asili kama Billings Ovulation Method au kujipima joto mdomoni au homoni kwenye mkojo. Unazuia mimba kiuhakika bila madhara yoyote.
Upo kwa ajiri ya kuridhisha walimwegu?Kwani nimesema sina watoto ndugu yangu? Unataka nizae 10 nishindwe kuwasomesha walimwengu mnicheke?
PoleHabari,
Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.
How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?
I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.
Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.
Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.
Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Yes mamii,kajifunze kuhusu mwili wako kiundani wewe kama mwanamke. Utaenjoy sana. Our bodies are wondefully made .Umenipa topic za kujisomea kwakweli
Kupaka limao kwenye via vya uzazi ni hatari coz itaua wadudu marafiki wanaokulinda dhidi ya magonjwa. Mtu asithubutu. Atatibu fangasi hadi akomeZaa wewe haya madude ya wazungu mnakuja jiharibia tu mwilini .....paka limao chini huko uue viluwiluwi kama huwezi fuata tarehe za siku hatari badala ya sijui mavidonge na mavijiti mnaenda tengeneza tu magonjwa na hiyo UTI ni yanayoonekana..bado hormonal imbalance na madhara mengine ya mda mrefu..mmeubwa kuja kuijaza dunia Gates Foundation’s new world-first contraceptive for African women: what it means for AfricaView attachment 3542839
Nawatandikaga makofiEhh dokta, jamani…tafuta kazi nyingine basi
Hicho kitanzi ni dawa unameza au unapewa unaweka mwenyewe au unaenda Hospital kuvua chupi na kuchanua mapaja ili kiwekwe pia na wakati wa kukitoa naomba nijue mnawekewa vpHabari,
Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.
How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?
I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.
Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.
Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.
Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Na shoga huyo ni wewe!Nina shoga angu ameweka mda mrefu ila U.T.I inamsumbua mara Kwa mara japo anasema nikizur
Haya endelea naye mfuate pm, mimi siingii humu kutafuta wanawakeBro mbona unamjibia mwanamke unayedai ana akili zake?
Si umwache ajibu mwenyewe!
Huenda bado anahitaji new adventures, ameachana na mtu wake n.k.
📌Kama una idadi ya watoto unaoona unastahili kuwa nao, funga kizazi.
Japo wengi watapinga ila ni option nzuri zaidi kama huna mpango wa kuongeza mwingine zaidi.
Jamii yetu ni jamii moja rigid sana . Tena mume akifunga inasaidia zaidi maana yeye hapati complication kama ke.Huu nao ni mjadala mwingine. From feedback ya watu wangu wa karibu; Madaktari wa wanawake wengi hawapendi hili jambo. Actually hata wanaume hawapati wepesi wanapoomba hii huduma. Sijui kwanini.
Sijawahi kujaribu kuongea na daktari wangu kuhusu kufunga kizazi. Nitajaribu nione anasemaje.
Ubarikiwe sana wewe na familia yako.Naona mleta mada anashambuliwa sana kwa kuamua kutumia njia ya uzazi wa mpango!!! Hii sio sawa,tumeshapita zama za kuzaa kama wanyama .
Kama mimba ingekuwa inatunga kwa mtu yeyote baada sex lazima na sisi wanaume tungetumia uzazi wa mpango. Bahati nzuri ni mwanamke anaye beba mimba,kitu pekee tunacho weza kufanya ni kutoa support ya njia salama za kupanga uzazi.
Unaenda unachanua mapaja wanakichomeka na kutoka hivyo hivyo!Hicho kitanzi ni dawa unameza au unapewa unaweka mwenyewe au unaenda Hospital kuvua chupi na kuchanua mapaja ili kiwekwe pia na wakati wa kukitoa naomba nijue mnawekewa vp
Kabla haja kiweka Dr si anakusugua kisimi kwanza maana utakua unamtegaUnaenda unachanua mapaja wanakichomeka na kutoka hivyo hivyo!
Ukipata muda naomba uanzishe mada juu ya hili, mada ikibaki humu inakuwa kama rejea.Yes dear,BOM ni nzuri sana,halafu inasaidia unaujua mwili wako hata ukiumwa unahisi hapa naumwa kabla hata dalili za ugonjwa hazijaanza. Ilitakiwa hii njia tufundishwe shule sema ndo hivyo mitaala inaandaliwa kwa ushirikiano na wenye makampuni ya dawa,wanawafundisha njia zitakazowaingizia wao pesa maana mkitumia BOM vitanzi vitakosa soko
Una miaka mingapi?Kabla haja kiweka Dr si anakusugua kisimi kwanza maana utakua unamtega
You are welcome sister 🥂Ubarikiwe sana wewe na familia yako.
Wanaume wanapenda sana tuwaelewe kwa mambo yao ya kiume ila sio other way around. It’s somehow sick 🤢