πππππMiaka yake inahusika nin na alichokiandika
Na unadhan mtu unaweka njia ya uzaz wa mpango bila kumshirukisha mwenza wako ? Mbona watu mnapurupukaga huko mkadhan mnajua maisha ya watu? Au hizi mada za jamii forum zinawatoa akili zenu
AiseeHabari,
Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.
How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?
I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.
Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.
Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.
Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Asante. Nikifungua uzi mchangie sasa mada itembeeUkipata muda naomba uanzishe mada juu ya hili, mada ikibaki humu inakuwa kama rejea.
Mwanamke/msichana yeyote akisearch kwenye search engine yoyote maudhui ya kiswahili kuhusu BOM atakutana na uzi wako kutoka JF.
Inasaidia kusambaza elimu.
29Una miaka mingapi?
MNANYOISHWAAA HIO STATA BADO PICHA.MNASHINDANA NA MUNGUHabari,
Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.
How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?
I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.
Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.
Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.
Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Asante dear! Nitampa huu ushauri.. namuonea huruma anaenda fanyiwa operation nyingine next week!Pole kwake, fibroids hazina sababu ya kitabibu inayojulikana ila kuna vichochezi vinavyoweza kuchangia ikiwemo historia ya fibroids kwenye familia, upungufu wa vitamin D na unene kupitiliza.
Sisi wanawake wa kiafrika ndiyo kundi linalozipata zaidi kuliko wanawake kutoka maeneo mengine. Shangazi yangu ameondolewa kizazi kwa sababu ya hili tatizo π’.
Tiba inategemeana na fibroids zimejiotea wapi na kwa ukubwa gani. Kuna dawa za kuzifanya zinywee au operation. Pia kuweka IUD inasaidia kupunguza bleeding kipindi cha period.
Ndo maana tunasema michepuko huimarisha ndoaKwahiyo tukae wiki 2 tunatizamana tu...
HmmmNdo maana tunasema michepuko huimarisha ndoa
Tatizo ukiwa Unataka kutwa mara tatu, unaona matatizo ya mke toka kwa Zurie ! Ndo maana sisi waislam tunasema is wanne. Ila ukimweka ndani tu, sarakasi zinaanza. Unarudi kule kule. Piga ua michepuko inaimarisha ndoaHmmm
Hao hao wanaomshambulia mleta mada ndo viongozi wa kuzalisha bila kutoa huduma.Naona mleta mada anashambuliwa sana kwa kuamua kutumia njia ya uzazi wa mpango!!! Hii sio sawa,tumeshapita zama za kuzaa kama wanyama .
Kama mimba ingekuwa inatunga kwa mtu yeyote baada sex lazima na sisi wanaume tungetumia uzazi wa mpango. Bahati nzuri ni mwanamke anaye beba mimba,kitu pekee tunacho weza kufanya ni kutoa support ya njia salama za kupanga uzazi.
Tuzungumzie genye za ovulation jamani mimi ndo nakua msumbufu wal sio baba mjengo, kuna namna ya kuzizuia? π₯ΉKitanzi cha Copper ni kweli hakina hormone za uzazi lakini usichoambiwa ni kwamba Copper ina uwezo wa kuathiri hormone za uzazi hasa estrogen ndio maana kuna hayo maudhi unayapata.
Hiyo sentensi kwamba " hakina homoni ni maneno tu ya kutia watu moyo ili waone kina uafadhali".
Mbaya zaidi kitanzi cha copper kinatoa kiwango kikubwa cha copper mwilini kuliko kiwango kinachoruhusiwa kwahiyo kinaleta " copper toxicity". So unaepuka hormones unapambana na copper toxicity.
Kuna group Facebook la wanawake kutoka sehemu mbalimbali duniani wanaotumia hizo Copper IUD, simulizi wanazotoa hao wamama sio poa. Ukipata nafasi kalitafute usome,utaona hayo mambo wanayopambana nayo.Hayo majitu ni masumu.
Bora njia za asili kama Billings Ovulation Method au kujipima joto mdomoni au homoni kwenye mkojo. Unazuia mimba kiuhakika bila madhara yoyote.
Nilijaribu sindano aiseh hapana ina mauzi na nilinenepa kama tembo nikaitoa!Communication matters. Mnajiandaa kabisa kwamba kuanzia kesho siku za joto zinaanza tuchukue tahadhari hii na hii na hii.
Sio rahisi jamani maana hizo siku unakuwa unatamani umgande mumeo kila wakati,lakini kulinganisha na madhara ya kutumia vijiti au sindano ni bora kuteseka kwenye siku za joto.
Kuna mwingine anachoma sindano anatoka damu mfululizo,anakuwa hapati hata chance kidogo ya kusex, sasa si bora kuvumilia hizo siku chache za hatari,zikiisha upo huru kuliko kukaa muda mrefu bila kusex kisa sindano zinafanya uvuje damu kila siku.
Mawasiliano na makubaliano yakiwepo,inasaidia ingawa ukweli utabaki kwamba sio rahisi kupambana na hisia zile siku za joto
Kama ni hivyo ndoa haina ulazima kuwepo!Tatizo ukiwa Unataka kutwa mara tatu, unaona matatizo ya mke toka kwa Zurie ! Ndo maana sisi waislam tunasema is wanne. Ila ukimweka ndani tu, sarakasi zinaanza. Unarudi kule kule. Piga ua michepuko inaimarisha ndoa
Wenzako wananunua madawa ya gharama kupata urges we unaomba ushauri upunguze usumbufu, ukiacha kuwa hivyo utaimiss hiyo moment.. utaichukia ndoa!Tuzungumzie genye za ovulation jamani mimi ndo nakua msumbufu wal sio baba mjengo, kuna namna ya kuzizuia? π₯Ή
Mimi mwanaume, nilijifunza kuhusu hii njia tangu nikiwa miaka 17 kupitia kitabu fulani.Bora njia za asili kama Billings Ovulation Method
Bila shaka hujaoa brotherπWanadamu wa sasa tunapenda ngono kama chakula.
Siku za hatari kwa mwanamke ni 7-10 tu. Kuanzia siku ya 10 hadi ya 18 au 20 mkiweza.
Sasa hizo siku 10 mwanaume eti anashindwa kuvumilia, ni uzembe wa kifisi.
Na wanaume inabidi wajue kukaa japo wiki 2 straight kwa mwezi bila kusex inakufanya u-recharge mwili na inner energy yako inakuwa kubwa.
Kiasi kwamba siku ukimkamata mkeo anafeel kama kakutana na mtu mpya.
Matajiri bilionea Elon Musk na Pavel Durov wana watoto wengi kama taka taka.Ndiyo, shida ni muda. Nishindwe kuwasiliana na washirika wangu wa biashara nikae kupokea simu za wanawake niliozaa nao kila wakati badala kutumia simu yangu kuwasiliana na madili ya biashara
Mapenzi au mahusiano yanahitaji
1. Muda
2. Pesa
3. Nguvu za kiume
Kwahiyo unapokuwa na wanawake wengi ni rahisi kutumia vibaya muda wako, pesa zako hata nguvu zako za kiume.
Mkuu mchezo mtamu ila matokea ya ule mchezo sio matamu naogopa sana mimba alooh πWenzako wananunua madawa ya gharama kupata urges we unaomba ushauri upunguze usumbufu, ukiacha kuwa hivyo utaimiss hiyo moment.. utaichukia ndoa!
My dear hazizuiliki,hiyo ni kawaida. Mwili wako unakuwa unataka mtoto kwa kipindi hicho kwa lazima, kwahiyo usumbufu kwa baba mjengo muhimu. Ni hivi zile homoni zinakufanya unakuwa kama chizi fulani hivi. Ndio maana mawasiliano ni muhimu na yeye awe anakusapoti. Ni kukabiliana nazo tu kwa kujiwekea taratibu fulani za kufuata kwa kipindi hicho cha usumbufu. Ovulation ni kiashiria kwamba wewe ni mwanamke uliyekamilika na mwili wako unafanya kazi vizuri. Binafsi ukitoa ule usumbufu kwa baba mjengo, ovulation naipenda kwa sababu ndo kipindi ambacho ninakuwa na furaha muda wote,ngozi inakuwa nzuriii pia nakuwa na nguvu nyingi za kufanya kazi kwahiyo kazi zote zinazochukua muda mrefu hapo nyumbani nazifanya nikiwa ovulation. Ovulation ikikata tu nakuwaga na hasira hasira na pia nakuwa mvivu wa kazi si kazini wala si nyumbani na usingizi debe. Nakuwa binadamu mwingine kabisaaa. Nikiwa kwenye Ovulation huwa naishi, ovulation ikikata nakuwa nasogeza sikuππππTuzungumzie genye za ovulation jamani mimi ndo nakua msumbufu wal sio baba mjengo, kuna namna ya kuzizuia? π₯Ή
Matajiri bilionea Elon Musk na Pavel Durov wana watoto wengi kama taka taka.