Dr. Love Pimbi
Member
- Jul 13, 2011
- 48
- 14
adui wa mwanamke ni mwanamke
Kuna Hii Hali imezoeleka sana kwamba Chanzo kikubwa cha Matatizo katika ndoa Nyingi ni Mawifi, Mama Wakwe. Sijawahi kusikia Mashemeji wakilalamikiwa au Baba wakwe wakilalamikiwa.
Wanaolalamika wengi ni Wake ambao nao ni Mawifi ( kwa maana kaka zao nao wameoa).
Tatizo ni nini hasa ninti Wanawake? Unalolalamika kwamba Mama Mkwe sijui kafanya ni je unasahau kwamba Hata wewe ni Mama Mkwe? Unapolalamika kwamba Wifi ana Gubu hujui kwamba hata Mke wa kaka yako analamika Wifi yake ( Ambaye ni wewe) ana Gubu! Kwa nini Hampendani hivyo Jamani akina Wifi na Mama Wakwe?
Hii ni kweli kbs, wakati twalalamikia dada wa waume zetu kutuguatilia, at the same time tunalalamika pale ambapo kaka zetu wanapowanunulia marange rover wake zao! Mara nyingi mama mkwe anapata malalamiko toka kwa binti zao juu ya mkamwana (mke wa mwanawe)!
Ndio maana mimi sikai kwa kaka yangu more than 2 days niendapo kumtembelea! Sipendi kujua wanaishije.
Nami sitaki kabisa kukaa na wifi; Kama ni msaada tutuma huko aliko!
Is This true?
Wivu tu unatusumbua na roho mbaya
Yesssssssss..........Is This true?