Kuna mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi kitengo cha haki za
binaadamu hapa tz nilikuwa napiga nae story.....
Maelezo aliyonipa yamenifanya nianze kuamini kuwa
hizi harakati za wanawake mwisho zitaleta maumivu mengi kwa wanaume
mfano anasema kwa ujibu wa haki za binadaamu...
Mume hutakiwi hata kugusa simu ya mke.
Kumuuliza nani amempigia mfano umesikia sauti ya kiume inaongea
kwenye simu na mkeo.....na mambo mengi mno.....
Mwisho tukaishia kubadilishana namba za simu..
Akaniambia niko free kumpigia time yeyote...hata usiku wa manane...
Mumewe hawezi kumuuliza wala kupokea simu yake...
Yeye na mumewe wote wanasheria.........
Yeye anavyosema ni kwa mujibu wa haki za binaadamu....
Mimi mwenyewe nimebaki hoi....
Yeye anavyosema ni kwa mujibu wa haki za binaadamu....
Mimi mwenyewe nimebaki hoi....
Hajui analoongea, au ulimbukeni wa elimu unamsumbua. Anasahau katika maisha kuna haki za kupendana na kuheshimiana kama wapenzi, na hizi hazijaandikwa pahala popote bali mtu unakua na kuzitambua kama tu vile unavyokua na kujua huwezi kuendelea kunyonya kwa mama ukiwa jitu zima!!Yeye anavyosema ni kwa mujibu wa haki za binaadamu....
Mimi mwenyewe nimebaki hoi....
ako kadada kalikuwa kanataka kufanya 'RIGHT" na wewe na ndo mana kakuambia umpigie tu ata siku wa manane
alikuwa anamanisha m free u can cal me n i can do woteva ata ku.......mumewangu nimegombana nae so hawezi kuniuliza chochote....
-ktk hali ya kawaida ata km si mpz wako ni mtu tu ata demu mwenzako mmelala rum moja then ukapigiwa usiku wa manane lazima atakuuliza nani uyo usiku huu..uyo wana mabifu na mmewe asisingizie sheria wala human right..........hana amani na mumewe uyo:fear:.
byeeeeeeeeeeeeee
kumbe wapi Kiranga? kwa (Mungu)Haki utaipata dunia hii ?
Mwisho tukaishia kubadilishana namba za simu..
Akaniambia niko free kumpigia time yeyote...hata usiku wa manane...
Mumewe hawezi kumuuliza wala kupokea simu yake...
Yeye na mumewe wote wanasheria.........