wanawake wote wapitie kozi ya CUSTOMER CARE....

Makubwa madogo yana nafuu!mfumo dume kila shemu mpaka kwenye upokeaji wa simu..sijui kama tutafika kwa mwendo huu.
 
The Boss.
Umeongea vema Customer Care inafaa sana kwa hawa Dada zetu wa Kibongo.kwani inasaidia kuboresha kazi na kuondoa migongano hata katika MAMBO YA MAHUSIANO YA KIMAPENZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…