mie ni taxi driver na wateja wangu wote wananifagilia kwa kusema niko makini kuliko mataxi driver wote wa kiume. na nikipata pancha nabadilisha tairi mwenyewe mbona huwa hazichomoki?? labda wanawake unaowaongelea we ni wale watoto mayai!
Ajali nyingi husababishwa na nani? Umesema wanawake wengi wanaendesha hovyo, unawaona hata kwa mbali but ukweli ni kwamba hawasababishi ajali, maybe definition ha hovyo inatakiwa kuangaliwa upya. Mfano: Kuchelewesha trafic kunaweza kuonekana uzembe kwa wamoja, au umakini kwa wengine. Mi naendesha gari miaka 14 sasa, sijawahi kupata ajali, but nimetukanwa mara kwa mara na kondactaz kwa uendeshaji wangu.Hayaka! Unachokisema nakiamini ! But kwenye wanawake 100 ukapata wawili hiyo statistics unaionaje? Is't proportional ?
Inamaana hata wale wanaofake gender unaweza kuwajua kwa kuangalia siredi zao?
Kama wanaume wote wangenyang'anywa funguo za gari kuanzia malori makubwa kushuka hadi bajaji na wakakabidhiwa wanawake, ajali zingepungua kwa 90%! Natamani muujiza huo ungetokea. Hii ni kulingana na maoni yangu.
Fro the case of driving, kama ukimkuta mwanamke ame qualify, mwanaume hatii mguu. wanwake wana concentration kubwa zaidi ya wanaume (nenda kwenye viwanda vya kuchambua kama kahawa utakuta wanawake ndio wachambuaji). wanaume mna papara na mkiwa barabarani mimacho yenu haijatuliaa. wanaume mnajiamini kupita kiasi (over confidence) na hii kwa kiasi kikubwa inaleta ajali.
Imagine, all the years, Gaddafi's body guards were women. Islael Figher pilots, most are women......
Women... mama zenu ndio wanaowafundisha kuvaa suruali na leo mnawaponda! Shame on you!
Okada unafikiri hapa target ni kuponda? Laa hasha! Hapa ni mada ni tofauti zetu ! Na kuna mambo hua mnayafanya kwa kutojiamini kwa mf. Mara Tamwa mara Viti maalumu sijui vikoba , chama cha Madaktari wanawake kwa nini hamjiamini mtaunda vyama vingapi ? Alafu unajua Sloganiy ya "Ladys first" ilianza'anzaje?
Okada unafikiri hapa target ni kuponda? Laa hasha! Hapa ni mada ni tofauti zetu ! Na kuna mambo hua mnayafanya kwa kutojiamini kwa mf. Mara Tamwa mara Viti maalumu sijui vikoba , chama cha Madaktari wanawake kwa nini hamjiamini mtaunda vyama vingapi ? Alafu unajua Sloganiy ya "Ladys first" ilianza'anzaje?
Oyeee kwa kutokulala oyeee!