Wanawakera wa mtandaoni mnakera sana na hii misemo

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Yani unakuta mtu umekaona katoto kakali facebook ile unakatext tu "HI" Kenyewe kanajibu "HI KAKA",,,hapo unaanza kuhisi dalili mbaya
au kanapost picha facebook halafu ghafla mwenzake anacomment "UMEPENDEZA MY WIFI" na kenyewe kanajibu "ASANTE MY WI".
Hiyo tabia siyo nzuri hata kidogo,acheni.
-NIMENUKUU-
 
Kama Dr Shika wanamwita baby, why weee wakuite kaka sijui babu! Waeleweshe mkuu, wataelewa!
 
Back
Top Bottom